HALI TETE KWA CHELSEA
Hali si shwari kwa vijana wa darajani pale jijini London kutokana na kuwa na mwendelezo mbovu katika ligi kuu ya nchini humo kutokana na kipigo cha jana cha goli tatu kwa moja wakiwa nyumbani kutoka kwa tottenham hotspurs na hii inakuja baada ya wiki kadhaa nyuma kufurumushwa kwa kipigo kutoka kwa Barcelona katika ligi ya mabingwa ulaya jina maarufu UEFA CHAMPION LEAGUE kutokana na hali hiyo kocha mkuu wa chelsea Antonio Conte ameongea na waandishi wa habari na kudai kuwa lawama zisipelekwe juu yake tu bali na bodi ya wakurugenzi inapaswa kulaumiwa kwa kumbania kitita cha fedha kipindi cha dirisha la usajiri. Sambamba na hilo amedai yeye Mshambuliaji wa Manchester United Lukaku ndo alikuwa chaguo lake na sio Alvaro Morata. www.google.com o